MafiaBoxing Promotion inakuleta tena โ€” Knockout Ya Mama MSIMU 8 ๐Ÿ”ฅ๐ŸฅŠ

Mafia Boxing Promotion inakuletea vita kali ya kisasi itakayotikisa ulingo wa ndondi! ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ”ฅ

Safari hii si mapambano ya kawaida โ€” ni vita ya mtu na mtu, hasira dhidi ya hasira, nguvu dhidi ya nguvu! Mabondia wako tayari kumalizana ndani ya ulingo huku kila mmoja akitaka kuthibitisha ubora wake mbele ya mashabiki wa ndondi. ๐ŸฅŠ๐Ÿ‘‘

Knockout Ya Mama Season 8 itajaa presha, maneno makali, mapambano ya kisasi, na knockout za hatari zitakazoacha historia mpya kwenye mchezo wa ndondi Tanzania. ๐ŸŒ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“… 24 April 2026

๐Ÿ•› 06:00 PM

๐Ÿ‘‰ โ€œHakuna urafiki ulingoniโ€ฆ ni vita mpaka mwisho!โ€ ๐Ÿ’ฅ๐ŸฅŠ

Boxing training at Mafia Boxing

MafiaBoxing Promotion inakuleta tena โ€” ๐ŸฅŠ๐Ÿ”ฅ SPARRING GAME ๐Ÿ”ฅ๐ŸฅŠ

Kwa mara nyingine tena, Mafia Boxing Promotion inakuletea burudani ya kimataifa kupitia SPARRING GAME ya moto! ๐Ÿ’ฅ๐ŸŒ

Jiandae kwa usiku mkali wa mapambano ambapo mabondia bora wataingia ulingoni kujiandaa kuelekea Knockout Ya Mama โ€“ SEASON 8 inayokuja mwezi Aprili. Hii sio sparring ya kawaida โ€” ni vita ya nguvu, heshima, na kujituma! ๐ŸฅŠ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“ Magomeni Sokoni

๐Ÿ“… 15 February

๐Ÿ‘‰ โ€œNdani ya ulingo hakuna huruma โ€” ni wapiganaji pekee wanaosimama imara!โ€ ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ‘‘

Boxing training at Mafia Boxing

MafiaBoxing Promotion brings you again โ€” ๐Ÿ”ฅ KNOCKOUT YA MAMA โ€“ MSIMU 7 ๐Ÿ”ฅ

Mafia Boxing Promotion inarudi tena kwa kishindo kikubwa! Usikose usiku wa mapambano makali yatakayowakutanisha mabondia bora na wenye njaa ya ushindi kutoka sehemu mbalimbali. Hii si event ya kawaida โ€” ni vita ya heshima, nguvu, na burudani ya kiwango cha juu ndani ya ulingo! ๐ŸฅŠ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“… 31 Disemba 2025

๐Ÿ• Saa 1:00 Usiku

Mashabiki wa ndondi jiandaeni kushuhudia mapambano ya kusisimua, knockout za hatari, na burudani isiyosahaulika kwenye usiku mkubwa wa mwisho wa mwaka!

Boxing training at Mafia Boxing

MafiaBoxing Promotion inakuleta tena โ€” Knockout Ya Mama MSIMU 6!

๐Ÿ”ฅ Knockout ya Mama โ€“ Season 6 sasa inapanda level mpya kabisa! ๐ŸŒ

Msimu huu tunavuka mipaka tukishirikiana na Azam TV ili kuwafikishia mashabiki burudani ya ndondi za kiwango cha juu, si tu Tanzania bali kimataifa. ๐ŸฅŠโœจ

๐Ÿ“† Tarehe ya Pambano: 10 Oktoba 2025

๐ŸฅŠIbrahim Mafia

๐ŸฅŠJuma Choki

๐ŸฅŠMagoma Jr

๐ŸฅŠSalmin Kassim aka Mizinga

๐Ÿ‘‰ โ€œUkiingia ulingoni ujue ni vita ya heshima โ€“ ni ama ushinde kwa knockout au uondoke ukiwa hadithi ya kusimuliwa! ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ‘‘

Boxing training at Mafia Boxing

MafiaBoxing Promotion inakuleta tena โ€” Knockout Ya Mama MSIMU 5!

Tunawakaribisha wadhamini (Sponsors) wote wanaopenda kuunga mkono na kudhamini pambano hili kubwa la kimataifa! ๐ŸŒ

๐Ÿ‘‰ Fursa ya kipekee kutangaza brand yako kupitia event yenye msisimko mkubwa.

๐Ÿ“† Tarehe ya pambano: 26 July 2025

Stay tuned for full details!

Kwa mawasiliano zaidi:

๐Ÿ‘‰ DM kwenye kurasa zetu

๐Ÿ‘‰ au piga simu ๐Ÿ“ž 0719684290 (Anatoli).

Boxing training at Mafia Boxing

"Msimu Mpya, Mizuka Mpya! Mafia Wazindua Knockout ya Mama 4"

Msimu Mpya, Mizuka Mpya! Mafia Wazindua Knockout ya Mama 4 - Pambano la Historia Laja!

Knockout ya Mama msimu wa 4 yazinduliwa kwa kishindo na Mafia, ikileta burudani ya hali ya juu na pambano la aina yake.

Katika jukwaa hili moto, bondia maarufu Yohana Mchanja almaarufu Computa atatetea mkanda wake wa WBA Global kwa mara ya kwanza mbele ya mashabiki wenye kiu ya ubabe na ubingwa.

Habari Zetu
Boxing training at Mafia Boxing

๐ŸฅŠApproaching Mom's Knockout โ€“ A Truly Special Moment in Life

Training tips blog post

April 24, 2025

Knockout ya Mama Phase 4

Asante Raisi wa Tanzania kwa kutushika mkono na Kibegi cha Raisi.

Read More
Nutrition blog post

April 18, 2025

Mafunzo kwa Vitendo

Kocha khamis mwakinyo akihakikisha bongia anapata mafunzo yenye tija kwa michezo.

Read More
Interview blog post

April 10, 2025

Dulla Mbabe Mafia

Dulla Mbabe akipata mazoezi makubwa na yenye ushindi chini ya Mafia Boxing Promotion

Read More

๐ŸฅŠMatukio Yajayo

DES 31

KNOCKOUT YA MAMA M 7

IbrahimMafia
Tanzania
Bingwa wa Afrika wa WBC
SOMA ZAIDI
DES 31

KNOCKOUT YA MAMA M 7

Asemahle Wellem
Tanzania
Uzito wa Light Heavy
SOMA ZAIDI

๐ŸฅŠHabari Mpya

Training tips blog post

April 24, 2025

Knockout ya Mama Awamu ya 3

Mafia Boxing Promotions imejikita katika kuandaa mapambano ya ndondi yenye ushindani mkali na ubora wa juu ili kuonyesha vipaji bora na kuinua hadhi ya mchezo huo. Matukio yetu yanatoa jukwaa kwa mabondia

Soma Zaidi
Nutrition blog post

April 18, 2025

Mabondia wa Mafia kwenda kwenye Mahojiano

Mabondia wa Mafia Boxing wanaendelea kuonyesha nidhamu na kujituma, ndani na nje ya ulingo. Kama sehemu ya kushiriki safari yao na mafanikio waliyopata, wanakwenda kushiriki mahojiano maalum na waandishi wa habari. Mazungumzo hayo yataangazia mafanikio yao, changamoto walizokumbana nazo, na matarajio yao ya baadaye katika mchezo wa ndondi.

Soma Zaidi
Interview blog post

April 10, 2025

Mafia Boxing Yawezesha Wanawake Tanga

Mafia Boxing imewapatia wajasiriamali wanawake mkoani Tanga majiko ya gesi safi kama sehemu ya uwajibikaji kwa jamii. Lengo ni kupunguza gharama za nishati, kuboresha mazingira ya kazi, na kulinda mazingira. Hii ni sehemu ya juhudi zao kuwawezesha wanawake na kukuza maendeleo endelevu ya jamii.

Soma Zaidi