🥊Habari

Yohana Mchanja aka Computer

Yohana Mchanja ametua rasmi nchini Philippines sambamba na makocha wake, tayari kuanza maandalizi ya pambano kubwa lililo mbele yake. Tunamtakia maandalizi thabiti, afya, nguvu na ushindi katika safari hii muhimu ya kutafuta historia kubwa ya ushindi!

Boxer

Ibrahim Mafia

Apoteza kwa TKO raundi ya 4 dhidi ya Bondia kutoka philippines katika Knockout ya Mama 6

Boxer

Salmini Kassim aka Mizinga

Ameshinda Mkanda wa WBO katika Knockout ya mama Ushindi wa Kihistoria kwa Tanzania

Boxer

Magoma Junior

Magoma Junior afanikiwa kutwaa ubingwa wa UBO! 🏆

Boxer

Kalolo Amiri

Karoro Amiri apoteza pambano dhidi ya bondia kutoka India katika Knockout ya Mama Season 6 – pambano kali lenye heshima kubwa! 🥊

Boxer

Kato Machemba

Bondia hakupata matokeo mazuri safari hii — ilikuwa siku mbaya kazini.

Boxer

Richard Mtangi

Bondia huyo ameibuka kidedea kwa ushindi wa point dhidi ya mpinzani wake, akionyesha ubora

Boxer

Said Hakimu

Bondia ameonyesha ubabe wake na kutwaa ushindi mnono, huku akipata mkanda wa PST 🏆🥊

Boxer

Allan Kamote

Bondia mkongwe, Allan Kamote amefanikiwa kumchapa kwa pointi mpinzani wake Harvey Mkacha raia wa Malawi katika pambano la utangulizi la raundi sita. Kamote amefungua njia kwa pambano la pili la Knockout ya Mama hapa Viwanja vya Posta Kijitonyama.

Boxer

Tana Juma

Bondia Tano Juma, amekuwa bondia wa kwanza kufungua shughuli ya Knockout ya Mama kwa kushindi

Boxer

Ibrahim Kodema

Knockout ya Mama season 6

Boxer

Asemahle Wellem

Knockout ya Mama season 6

Boxer

Richard Mtangi

Knockout ya Mama season 6

Boxer

Tano Juma

Knockout ya Mama season 6

Boxer

Salmin Kassim

Knockout ya Mama season 6

Boxer

Allan Kamote

Knockout ya Mama Season 6

Boxer

Abdulrahaman Magoma

Knockout ya Mama Season 6

Boxer

Said Hakimu

Knockout ya Mama Season 6

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 5

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 4

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 4

Boxer

Knockout ya Mama

Msimu 4

Boxer

Zawadi ya Gari

Bondia IbraMafia ameibuka mshindi kwa Knockout katika mashindano ya KnockoutYaMama na kutunukiwa kitita cha pesa na Mheshimiwa Rais wa Tanzania. Pia, amezawadiwa gari aina ya Rumio na Mafia Boxing Promotion kama motisha ya mafanikio yake kwenye medani ya ngumi.

Boxer

KnockoutYaMama

Kwa heshima kubwa na shukrani za dhati, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amemkabidhi bondia mahiri Yohana Mchanja zawadi ya pesa taslimu baada ya ushindi wake wa kishujaa kwa Knockout katika pambano la ngumi za kulipwa. Hongera sana Mchanja kwa ushindi huu wa kihistoria! Tunatoa shukrani za pekee kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kuunga mkono michezo na kuwainua vijana wa Tanzania. Huu ni ushahidi kuwa Ndoto zinatimia chini ya uongozi wake imara!

Boxer

Mazoezi ni Mbegu, Afya ni Mavuno.

Kocha mahiri akiwa makini kabisa kuhakikisha mazoezi ya mabondia katika gym ya Mafia Boxing Arena, akihakikisha kila mchezaji anafikia viwango vya juu kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu. Uongozi na nidhamu yake vinaendelea kuwainua mabondia chipukizi kuelekea mafanikio makubwa!

🥊Matukio Yajayo

MAY 24

KNOCKOUT YA MAMA

Yohana Mchanja VS Fillemon Nghutenanye
Viwanja vya Posta
Ubingwa wa Dunia wa WBO (Global)
SOMA ZAIDI
MAY 24

KNOCKOUT YA MAMA

TWAHA KIDUKU VS LIMBANI LANO
Viwanja vya Posta
Ubingwa wa Kati wa Juu wa GBC
SOMA ZAIDI

🥊Habali Mpya

Training tips blog post

April 24, 2025

Knockout ya Mama Awamu ya 3

Mafia Boxing Promotions imejikita katika kuandaa mapambano ya ndondi yenye ushindani mkali na ubora wa juu ili kuonyesha vipaji bora na kuinua hadhi ya mchezo huo. Matukio yetu yanatoa jukwaa kwa mabondia

Soma Zaidi
Nutrition blog post

April 18, 2025

Mabondia wa Mafia kwenda kwenye Mahojiano

Mabondia wa Mafia Boxing wanaendelea kuonyesha nidhamu na kujituma, ndani na nje ya ulingo. Kama sehemu ya kushiriki safari yao na mafanikio waliyopata, wanakwenda kushiriki mahojiano maalum na waandishi wa habari. Mazungumzo hayo yataangazia mafanikio yao, changamoto walizokumbana nazo, na matarajio yao ya baadaye katika mchezo wa ndondi.

Soma Zaidi
Interview blog post

April 10, 2025

Mafia Boxing Yawezesha Wanawake Tanga

Mafia Boxing imewapatia wajasiriamali wanawake mkoani Tanga majiko ya gesi safi kama sehemu ya uwajibikaji kwa jamii. Lengo ni kupunguza gharama za nishati, kuboresha mazingira ya kazi, na kulinda mazingira. Hii ni sehemu ya juhudi zao kuwawezesha wanawake na kukuza maendeleo endelevu ya jamii.

Soma Zaidi